NENO TIME β Anchored in Truth
Matendo yasiyo na uhai ni yapi?
Leo ninataka tuone baadhi ya mambo yasiyo na uhai katika BIBLIA.Β
GALATIA 5:19-21,Β
Yajue matendo kidunia yasiyo faa.
1) Uzinzi, 2)Β
2) Uasherati,Β
3) Ufisadi,Β
4) Kuabudu sanamu. ZABURI 115:3-8, KUMB KUMB TORATI, 4:15-19, ISAYA 44:9-19.Β
5) Uchawi, ISAYA 47:8-15, KUMB KUMB LA TORATI 18:10-13,
6) Uadui,Β
7: Ugomvi,
8) Wivu,Β
9) HasiraΒ
10) Uchoyo
11) Mabishano,Β
12) Mafaralano YAKOBO 4:1-8,
13) Husuda,
14) Ulevi, HABAKUKI 2:15-17, ISAYA 5:11-12, EFESSO 5:18, ISAYA 28:7 Inasema hawa pia wanapepesuka kwa sababu ya mvinyo, wanayumbayumba kwa sababu Kileo, MITHALI 20:1,
15) UlafiΒ
16) UovuΒ
17) Tamaa mbayaΒ
18) uuajiΒ
19) UzushiΒ
20) FitinaΒ
21) HadaaΒ
22) Nia mbayaΒ
23) KusengenyaΒ
24) KusingiziaΒ
25) Wenye kumchukia MUNGUΒ
26) WajeuriΒ
27) KiburiΒ
28) WafidhuliΒ
29) KutakabariΒ
30) Wasiotii wazazi MATHAYO 15:4,
31) Dhamira mbayaΒ
32) KinyongoΒ
33) KusingiziaΒ
34) MatusiΒ
35) ChukiΒ
36) MatukanoΒ
37) Uviraji,Β WARUMI 1:28-31. 1KORINTHO 6:9-11, EFESSO 5:5-8, UFUNUO 22;15. ZABURI 119:113, UFUNUO 21:27,
38) KulawitiΒ
Kumtendea mke au mme vibaya.
39) Kutoiheshimu ndoa, WAEBRANIA 13:4,
40) Kupenda fedha,
41: Kupenda dunia 1YOHANA 2:15-17,
Β WAEBRANIA 13:5,Β 1TIMOTHEO 6:10, NK.
Haya na mengine mengi ndio mambo yanayomwaribu mwanadamu aliyeko hapa duniani,Β
Hebu tusome kwa makini na kuyatafakari na kuchukua hatua.Β
Β Kaa tayari kupokea Msingi wa pili wa somo la βKuwa na IMANI kwa MUNGUβ
Hakuna maoni yaliyotumwa bado. Kuwa wa kwanza kutoa tafakari yako kuhusu somo hili!